Nop kipo vizur na mwenywe yupo hamna mgogoro hapoHakina mgogoro ?
Kimepimwa..kina hati..umbl dk 25 kwa kutembe..ukubwa wa eneo ni miter 25 kwa 25..hakina mgogoroKimepimwa na kina hati?
Kinafikika kwa gari?
Kipo umbali gani kutoka barabarani?
Maongezi hayo kwenye bei?
Hiyo 25*25 ni hatua au mita?
Weka Hata namba ya simu , hata haujishitukiiKiwanja kinauzwa kipo kibaha kwa mfpa ukubwa 25 kwa 25 ml 3,500,000 maongez yapo sehemu tambarare haina shda, mwenye kuhtj anipm inbox maongez yapo
Ni vyema ungemsaidia kwa kumpa muongozo kwa namna ambavyo unaona inafaa ili awe bora zaidi.Kaa chini umalizie tangazo lako mkuu,
Naenda kupiga moja ya moto moja baridi, nikirudi nisome tangazo lililokamilika.
Asante
"Caveat emptor" ......Kiwanja kinauzwa kipo kibaha kwa mfpa ukubwa 25 kwa 25 ml 3,500,000 maongez yapo sehemu tambarare haina shda, mwenye kuhtj anipm inbox maongez yapo
0714028005Weka Hata namba ya simu , hata haujishitukii
Mkuu kama kina hati nicheki tuongeeKiwanja kinauzwa kipo kibaha kwa mfpa ukubwa 25 kwa 25 ml 3,500,000 maongez yapo sehemu tambarare haina shda, mwenye kuhtj anipm inbox maongez yapo
Kibaha kwa mfipa ipo wapi, kabla au baada ya Mailimoja? Kama baada ya maili moja ni kilometa ngapi toka maili moja hadi huko kwa mfipa. Nauli ni sh.ngapi toka Kwa mfipa hadi mailimoja?Kiwanja kinauzwa kipo kibaha kwa mfpa ukubwa 25 kwa 25 ml 3,500,000 maongez yapo sehemu tambarare haina shda, mwenye kuhtj anipm inbox maongez yapo
Ukifka kwa mathius kituo kinachofuata mwendapole then ndo kwa mfipaKibaha kwa mfipa ipo wapi, kabla au baada ya Mailimoja? Kama baada ya maili moja ni kilometa ngapi toka maili moja hadi huko kwa mfipa. Nauli ni sh.ngapi toka Kwa mfipa hadi mailimoja?
Na kutoka kwa mfpa mpka kiwanja kilipo ni dk 25 kwa mguu..ila kwa boda buku dk 10Ukifka kwa mathius kituo kinachofuata mwendapole then ndo kwa mfipa
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app