Kiwanja kinauzwa ( beach plot) kipo mtoni kijichi dar es salaam

Kiwanja kinauzwa ( beach plot) kipo mtoni kijichi dar es salaam

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kiwanja kipo Mtoni kijichi block C . Plot no... hapa Dar es salaam
kipo eneo zuri na salama unaweza jenga nyumba ya makazi au biashara.
kinaukubwa wa (1.12) hectares au 2.8 heka ( heka 3 kasoro kidogo)
kimepimwa , kina hati ya miaka 99
Kinauzwa 370m.
mimi ni commission agent. mwenye uwanja yupo mnunuzi mwenye nia nitamkutanisha naye
 
Back
Top Bottom