Kiwanja kinauzwa 6.5m

Kiwanja kinauzwa 6.5m

Karibuni wadau, Kiwanja bado kipo, bei bado hazijafika panapostahili
 
Mkuu kwa zogo Ali mbal kule jaribu kupunguza kdg af kuna asili ya majimaj kule usiuzie Kama upo juu boss
 
Mkuu kwa zogo Ali mbal kule jaribu kupunguza kdg af kuna asili ya majimaj kule usiuzie Kama upo juu boss
Zogo Ali ipi mkuu yenye asili ya maji maji. Maeneo niliyopo hakuna hicho kitu. Hiyo ndio bei stahili
 
Mkuuu punguza bei umeanzia mbali sana sema sababu ya kweli kwann unauza usije ukambambika mtu ukarogwa kaka
 
Achana na huo ujinga wa kusomesha watoto shule ambazo huzimudu. Wema usizidi uwezo.
Kama mambo sio poa, wahamishie watoto kwenye shule za gharama nafuu na hata ikiwezekana shule za serikali. Usipo angalia utauza kila ulicho nacho kisa watoto ambao hata wanaweza wasije kuwa na manufaa na wewe kwenye uzee wako.
Usisikilize sana mke. Wanawake huwa wana pressure na kutamani vitu vilivyo nje ya uwezo. Ukifanya hivyo, utazeeka kabla ya umri wako na huyo mwanamke atakukimbia na kwenda kuburudishwa na dogo dogo.
Achana kabisa na hivyo vitu. Ishi ndani ya uwezo.
Ushauri wa hovyo kabisa. Kuna shule gani ya maana ya serikali ya kumpeleka mtoto, kwa mzazi anyejali future ya watoto aliowaleta duniani! hayo ya hatakusaidia ni majaliwa ya mungu, we timiza wajbu wako.
 
Ushauri wa hovyo kabisa. Kuna shule gani ya maana ya serikali ya kumpeleka mtoto, kwa mzazi anyejali future ya watoto aliowaleta duniani! hayo ya hatakusaidia ni majaliwa ya mungu, we timiza wajbu wako.
Wema usizidi uwezo. Nitajie mtu wa maana unayemfahamu amabaye amesoma shule za kudekeza dekeza watoto! Taja. Le Mutuz?
 
Wakuu habari za muda.

Nauza Kiwanja changu, Ada ya watoto kwenda kumalizia muhula imeanza tena kusumbua

Sifa za Kiwanja
-Kipo Chanika, Zogo Ali
-Kumejengeka
-Msingi imara WA nondo 12mm, NNE kila upande
-Vyumba 3, kimoja master, sebule, dinning, public toilet
-Jiko
-Tofali 200
Simu 0716411720
View attachment 735056
dar unauza bei bdogo saba au iyo seemu auina umeme au kina mgogoroo??? au kinajaa majiii???
yani kama shida ni vyuma bro bado siku mbili tyu
 
Nimerudi tena wadau, nilitulia kidogo kusoma upepo. Kiwanja bado kipo, na bei imeshuka. Saivi nauza kwa 5.4M
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom