Achana na huo ujinga wa kusomesha watoto shule ambazo huzimudu. Wema usizidi uwezo.
Kama mambo sio poa, wahamishie watoto kwenye shule za gharama nafuu na hata ikiwezekana shule za serikali. Usipo angalia utauza kila ulicho nacho kisa watoto ambao hata wanaweza wasije kuwa na manufaa na wewe kwenye uzee wako.
Usisikilize sana mke. Wanawake huwa wana pressure na kutamani vitu vilivyo nje ya uwezo. Ukifanya hivyo, utazeeka kabla ya umri wako na huyo mwanamke atakukimbia na kwenda kuburudishwa na dogo dogo.
Achana kabisa na hivyo vitu. Ishi ndani ya uwezo.