Kiwanja kinahitajika

Kiwanja kinahitajika

gozo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
458
Reaction score
86
Habari zenu wakuu

Nahitaji kiwanja kiwe kati ya maeneo ya tegeta,tabata,kimara au mbezi ya kimara na maeneo ya kongowe ya mbagala....

kiwanja kisiwe mbali kutoka barabara kuu,kiwe kinafikika kwa urahisi kwa gari,kiwe jirani na huduma muhimu kama umeme na maji na kiwe tambarare...

Nikipata maeneo ya boko au bunju iatkuwa bora zaidi...

Bajeti yangu ni mil 7 tu....
 
Habari zenu wakuu

Nahitaji kiwanja kiwe kati ya maeneo ya tegeta,tabata,kimara au mbezi ya kimara na maeneo ya kongowe ya mbagala....

kiwanja kisiwe mbali kutoka barabara kuu,kiwe kinafikika kwa urahisi kwa gari,kiwe jirani na huduma muhimu kama umeme na maji na kiwe tambarare...

Bajeti yangu ni mil 7 tu....

maeneo gani?mi ninacho ila kipo mbagara mbande,tambarare,mchanga hapo hapo umeme upo karibu,bei 6 mil
 
Kinapatikana kiwanja kipo kiluvya, ni km 2 kutoka morogoro road,huduma zote muhimu zipo, bei ni tshs mil 5
 
Habari zenu wakuu

Nahitaji kiwanja kiwe kati ya maeneo ya tegeta,tabata,kimara au mbezi ya kimara na maeneo ya kongowe ya mbagala....

kiwanja kisiwe mbali kutoka barabara kuu,kiwe kinafikika kwa urahisi kwa gari,kiwe jirani na huduma muhimu kama umeme na maji na kiwe tambarare...

Bajeti yangu ni mil 7 tu....

Mpigie huyu jamaa, kuhusu huko Kongowe 0756879398 kama upo serious
 
Habari zenu wakuu

Nahitaji kiwanja kiwe kati ya maeneo ya tegeta,tabata,kimara au mbezi ya kimara na maeneo ya kongowe ya mbagala....

kiwanja kisiwe mbali kutoka barabara kuu,kiwe kinafikika kwa urahisi kwa gari,kiwe jirani na huduma muhimu kama umeme na maji na kiwe tambarare...

Bajeti yangu ni mil 7 tu....
duh budget yako ndogo sana nilitaka nikupe kiwanja cha serikali 1700 squarea metre kwa 16000 per sq metre about 1 km from main road
 
Kipo maeneo gani na unakiuza sh ngapi mkuu?
 
maeneo gani?mi ninacho ila kipo mbagara mbande,tambarare,mchanga hapo hapo umeme upo karibu,bei 6 mil

Mbande ndo maeneo gani mkuu?
 
Njoo nikuuzie hapo kibaha maji yapo jirani kuja umeme haupo mbali. Hakuna dalali. Pm.
 
Mbande ndo maeneo gani mkuu?

mbagara unapita uwanja wa azam,kiwanja kizuri mchanga unachomba hapo hapo,kinaangaliana na road ya mtaa,pia kunadispensari karibu,shule ya msingi,kiwanja kipo tambarare tu na kisafi wewe ukinunua hupati kazi ya kusafisha,ukiitaji ni pm ili ukakicheki kama utakua teyari,
 
Huko mbali sana mkuu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom