Kiwanja kinahitajika Dar es Salaam

Kiwanja kinahitajika Dar es Salaam

Ingekua Vikindu ni Chap. Vikindu iko mbele ya Mbagala kabla ya kisemvule. Kiwanja cha 20 * 20 unapata kwa 1.6M. Vukubwa zaidi vipo pia na vidogo. Anayehitaji 0762815104
 
Ukipata chenye size hiyo, kwa bei hiyo, niite mbwa, nimekaa pale kajiungeni

ukipata kwa bei hii, nakuongezea 2m

Bei hiyo Hata Kigamboni sidhani km atapata

Sent using Jamii Forums mobile app

Yan unasema kigamboni!kimbiji apati kwa bei yake na ukubwa anaotaka

Bei hiyo hata Singida hupati

Kigamboni kimbiji kwa bajet yake ataishia kupata cha 20m×20m = 400sq yeye anataka cha 25m×30m= 750sq

Sent using Jamii Forums mobile app
Square meter 750 huwezi kupata Kwa bei hiyo, tusisahau Chanika ni Dar es salaam.
 
Kununuwa viwanja si swala la urithi tu ni asset inayopanda thamani kila mwaka, mambo yakikukalia vibaya kimfaacho mtu chake unakipiga bei ya juu unamaliza shida zako.
Mzeya kusema unapiga bei ya juu hiyo sio all the time. Mambo ya kuuza mie nayajua bro. Jtauza kwa bei ya juu kama huna shida. Lakini ngoma ya maisha imekubana kwenye plaiz, utauza kiwanja kwa bei ya kutupa
 
Whatsoever asset unauza unapokwama, hata dhahabu ni asset nzuri tu ukikwama unakwenda Kwa sonata uhindini inapimwa unapewa cash lakini bei ya gram inashuka kidogo.

Kwahiyo vijana mkipiga pesa muwe mnanunuwa cheni za dhahabu gram za kushiba na Pete, hivi ndio vitu rahisi ukikwama huumizi kichwa unaenda kumvulia muhindi unahesabiwa mpunga wako unasepa.
 
Sawa wacha tuanze kununa micheni sasa
 
Ingekua Vikindu ni Chap. Vikindu iko mbele ya Mbagala kabla ya kisemvule. Kiwanja cha 20 * 20 unapata kwa 1.6M. Vukubwa zaidi vipo pia na vidogo. Anayehitaji 0762815104
Vikindu barabarani nitafutie.
Hata kisemvule center.
Pesa mfuko wa shati.
 
Vikindu barabarani nitafutie.
Hata kisemvule center.
Pesa mfuko wa shati.
Unamaanisha kuangalia rami hivi ndio kiwanja unataka? bei inakuwa juu, Kisemvule Sasa hivi ni township Fulani hivi halafu route ya daladala kibao.
 
Unamaanisha kuangalia rami hivi ndio kiwanja unataka? bei inakuwa juu, Kisemvule Sasa hivi ni township Fulani hivi halafu route ya daladala kibao.
Yeah najua.
Ila hata mtaa wa pili au tatu.
Najuta niliikosa nafasi 2014 kisemvule. Wenzangu waliochukua wana frame za laki kwa mwezi 4m X 4m.
Na vyumba vya kupanga havikai sababu ya viwanda.
 
Kiwe maeneo ya Chanika, Majohe, Pugu, Ukonga na Mbezi

Ukubwa usipungue mita 25 kwa 30

Bei isizidi 2.5 milion.

Kwa yeyote mwenye koneksheni anijuze..
toka huko kwenye milioni mbili kama unataka kiwanja
 
Habari, mimi ninavyo viwanja vingi vimepimwa, vipo mwasonga, ila tunaanza kuuza viwanja vyenye ukubwa kuanzia wa 20*25, sema hiko 25*30 unachokitaka wewe mimi nitakupatia kwa hii bei 3,750,000.
 
Back
Top Bottom