Siyo kweli mkuu, Chanika vipo vingi tu.Kwa beei hyo ngoja ukauziwe kiwanja chenye kesi
Sehemu gani chanikaSiyo kweli mkuu, Chanika vipo vingi tu.
Chanika majumba sita mitaa ya makamu wa Rais.Sehemu gani chanika
Nipe connectionChanika majumba sita mitaa ya makamu wa Rais.
ukipata kwa bei hii, nakuongezea 2mUkubwa usipungue mita 25 kwa 30
Bei isizidi 2.5 milion.
Yan unasema kigamboni!kimbiji apati kwa bei yake na ukubwa anaotaka
Kiwe maeneo ya Chanika, Majohe, Pugu, Ukonga na Mbezi
Ukubwa usipungue mita 25 kwa 30
Bei isizidi 2.5 milion.
Kwa yeyote mwenye koneksheni anijuze..
Mkuu unaonekana unasema vitu usivyovijua, kigamboni Hadi 1.4 unapata sq 400...jitahidi kuwa updated ipo miradi mingi Sana huko mwasonga,dege,kimbiji,n.k...
Tatizo wewe umejifungia na mwisho wa siku unaishia kuongea kwa kukariri kuwa haiwezekani jitahidi kuongea vizuri na watu mkuu.... Nimepokea pm nyingi ili nifike site kuchek, vipo hadi vilivyopimwa kabisaView attachment 2339118Bei hiyo hata Singida hupati
Kigamboni kimbiji kwa bajet yake ataishia kupata cha 20m×20m = 400sq yeye anataka cha 25m×30m= 750sqYan unasema kigamboni!kimbiji apati kwa bei yake na ukubwa anaotaka
Mkuu ww unataka cha 25m×30m =750sq kwa 2.5m kigamboni huko huko unaposema sidhan coz sahv 400sq tuu vinaanzia 2m kwa makampuni mengi ya Real estate ....me pia huko kigamboni nnacho maeneo ye pemba mnazi karibu na Muimbili primary schoolMkuu unaonekana unasema vitu usivyovijua, kigamboni Hadi 1.4 unapata sq 400...jitahidi kuwa updated ipo miradi mingi Sana huko mwasonga,dege,kimbiji,n.k...
Huko mwasonga mm ninavyo viwanja vitatu kwa Sasa nahitaji eneo tofauti na kigamboni ndio maana nikaomba wadau wanipe connection
Hapa wapTatizo wewe umejifungia na mwisho wa siku unaishia kuongea kwa kukariri kuwa haiwezekani jitahidi kuongea vizuri na watu mkuu.... Nimepokea pm nyingi ili nifike site kuchek, vipo hadi vilivyopimwa kabisaView attachment 2339118View attachment 2339119
Hvyo vya chanika ni surveyed plot? Au vya kupimiana kwa miguuSiyo kweli mkuu, Chanika vipo vingi tu.
Umubwa gani na bei ikoje?Kwa uhitaji wa viwanja Chanika.
Cheki na uyu ndugu +255716304101
Viwanja vimepimwa.
Unaenda site, unakagua ukiridhika unalipia ukimaliza malipo unapata hati yako saafii.