Kiwanja kinahitajika arusha

Kiwanja kinahitajika arusha

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
4,936
Reaction score
3,548
Ndugu wadau nahitaji kiwanja kwa wakazi wa arusha chenye at least ukubwa wa 22 x30. Hii ni minimum kama kipo kikubwa zaidi ni vema pia. Kiwanja kisiwe porini sana na pia kisiwe mjini. Kiwepo sehemu ya makazi i mean naweza kuanzisha kakibanda cha kuishi. Planned budget not more than 7million.
Mwenye taarifa aniPM tafadhali.
 
Mh bajeti hiyo ndogo, ukifika 10m uni-pm.
 
Matevesi ni arusha sehemu gani je kumepimwa
Mi umbali gani kutoka town
 
Ndugu wadau nahitaji kiwanja kwa wakazi wa arusha chenye at least ukubwa wa 22 x30. Hii ni minimum kama kipo kikubwa zaidi ni vema pia. Kiwanja kisiwe porini sana na pia kisiwe mjini. Kiwepo sehemu ya makazi i mean naweza kuanzisha kakibanda cha kuishi. Planned budget not more than 7million.
Mwenye taarifa aniPM tafadhali.

Shamba la takriba 0.75 acres linauzawa Arusha karibu na Mandela University TZS 9,000,000.00 negotiable

Pia Lipo shamba la Michungwa 35 acres Pangani, na plot yenye nyumba sakina, piga 0786262635. Kazi kwako
 
Ninachakwangu kina ukubwa huo huo uliosema kipo usariver nipigie 0757-662401
 
Back
Top Bottom