CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 267
- 55
Huku ni kudhalilisha wachezaji, soccer lenyewe na nchi shiriki.Cecafa isirudie tena ujinga huu kupeleka mashindano nchi ambayo haina playgrounds nzuri, result ni kwamba matokeo yanayotokea uwanjani hayatokani na ubora wa mchezo,wachezaji ama mbinu nyingine halali za soka bali ni influence ya hali ya uwanja