Kiwanja kina uzwa -makongo ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kina uzwa -makongo ya juu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by DAVIDSONM, Jun 29, 2011.

 1. D

  DAVIDSONM New Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja kinauzwa kipo makongo ya juu.
  ukubwa ni 23m (urefu) kwa 22.5m(upana).
  Kipo barabarani, maji na umeme vilishafika toka 2004.
  Ni low density area.Ni 18 -20 mins driving from Mwenge.

  Piga simu no. 0656599822/0767044479.Kwa maelezo zaidi.

  Thank you.
   
 2. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Makongo Juu sehemu gani kiongozi?
   
 3. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Weka price basi mkuu
   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Jamani ungetwambia na bei itakuwa safi kwenye simu itakuwa kuomba kupunguziwa tu na mengine
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Yaan umejitahidi kutaja vitu vyote kasoro bei?
  hua zina nini mpaka mnazificha?
   
 6. samito

  samito JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Taja bei broda au ni pm na bei yako kama hutaki kuweka hapa
   
Loading...