Kiwanja kimara au mbezi ya kimara chahitajika

Kiwanja kimara au mbezi ya kimara chahitajika

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,898
NAHITAJI KIWANJA morogoro road kati ya kimara rombo,kimara mwisho, mbezi yote ya kimara, kama kuna mtu anacho kiwanja kisichozidi mil.10 tuwasiliane, nina shida nacho haraka sana. sihitaji vile vinavyotumiwa madalali wanaongeza sana bei na wanatapeli sana. nataka anayeuza awe ndio mwenye mali kwani kabla ya kununua due diligence ya kutosha itafanyika pamoja na mkataba makini utakaomfunga kabisa kama atakuwa ni tapeli. kwa mwenye nacho tafadhali nahitaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom