Plot4Sale Kiwanja Eneo Zuri kwa Biashara na makazi kinauzwa, Mbezi Marambamawili

Ona Sasa

Member
Jul 2, 2009
65
11
Ninauza kiwanja, kipo Mbezi Marambamawili, Mtaa wa Mzalendo, kipo eneo kwa makazi na biashara za aina yoyote.

Ukubwa ni : 26" x 20"

Bei: Tutaelewana

Mawasiliano: 0685 810 420
 
Ona sasa, eti bei tutaelewana..!
Tutaelewanaje bila kutaja bei?
Yani umeweza kuandika maneno yoote hayo ila bei ya kiwanja ikakushinda???
 
Mkuu mie nakupa 1M,maana unesema tutaelewana haya njoo tuelewane sasa.
Jifunzeni kuweka matangazo,watanzania tuwe waelewa kila siku watu wanaeleza jinsi ya kuweka matangazo watu hawalewi kabisa.Ningekuwa na uwezo na tembeza bakora
 
Ona sasa, eti bei tutaelewana..!
Tutaelewanaje bila kutaja bei?
Yani umeweza kuandika maneno yoote hayo ila bei ya kiwanja ikakushinda???
nashukuru kwa ushauri, ila hayo yote nimeyafikiria wakati naweka hili tangazo
si kila mtu humu anahitaji kiwanja hivyo nilijua, mwenye nia atawasiliana nami na tutafanya biashara
naweza kukuwekea bei, kakini maelezo niliyoyaweka hapo juu hayajitosherezi ku defend bei niliyoweka

naweza kusema ninauza 1M sababu ABC
Au ninauza 15M sababu ABC kwa mtu mwenye uhitaji wa kiwanja hicho
 
Siasa hadi kwenye biashara. Dah
 
Nashukuru kwa walionishauri.

Kiwanja kipo: Mbezi Malamba mawili, Mzalendo Steet
Ukubwa: 26" x 20"
Bei : 12M
Eneo: Zuri sana kwa makzi na biashara

Mwenye nia ya kununua tuwasiliane 0685 810 420, tutapeana maelezo zaidi ikiwemo pia kuelewana.

Karibuni
 
Mkuu uko juu sana kama kimepimwa chukua saba haraka mwenyewe unajua hali ya sasa, kama hakijapimwa daah sijui tutaelewana vipi, hebu tuone haya twende Kazi niambie kimepimwa..??
 
Kiwanja kipo: Mbezi Malamba mawili, Mzalendo Steet
Ukubwa: 26" x 20"
Bei : 12M
Eneo: Zuri sana kwa makzi na biashara

Mwenye nia ya kununua tuwasiliane 0685 810 420, tutapeana maelezo zaidi ikiwemo pia kuelewana.

Karibuni

mkuu nipm tufanye biashara nina 5 kamili
 
mkuu nipm tufanye biashara nina 5 kamili
Mheshimiwa mob hiyo tofauti ya bei niliyotangaza na yako ni kubwa muno, hata kama kuna kuelewana ni kweli kuna sehemu tutakutana? Nimekupa maelezo kamili inbox
 
  • Thanks
Reactions: mob
Kiwanja kipo: Mbezi Malamba mawili, Mzalendo Steet
Ukubwa: 26" x 20"
Bei : 12M
Eneo: Zuri sana kwa makzi na biashara

Mwenye nia ya kununua tuwasiliane 0685 810 420, tutapeana maelezo zaidi ikiwemo pia kuelewana.

Karibuni
Nicheki mkuu
 
tatizo si waswahili tuna kosa uwazi, unauza kiwanja unajua unataka shs ngapi alikini kuweka bei ni shida eti bei maelewano, maelewano ya pa kuanzaia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom