nashukuru kwa ushauri, ila hayo yote nimeyafikiria wakati naweka hili tangazoOna sasa, eti bei tutaelewana..!
Tutaelewanaje bila kutaja bei?
Yani umeweza kuandika maneno yoote hayo ila bei ya kiwanja ikakushinda???
nashukuru kwa ushauri, ila hayo yote nimeyafikiria wakati naweka hili tangazo
si kila mtu humu anahitaji kiwanja hivyo nilijua, mwenye nia atawasiliana nami na tutafanya biashara
naweza kukuwekea bei, kakini maelezo niliyoyaweka hapo juu hayajitosherezi ku defend bei niliyoweka
naweza kusema ninauza 1M sababu ABC
Au ninauza 15M sababu ABC kwa mtu mwenye uhitaji wa kiwanja hicho
Kiwanja kipo: Mbezi Malamba mawili, Mzalendo Steet
Ukubwa: 26" x 20"
Bei : 12M
Eneo: Zuri sana kwa makzi na biashara
Mwenye nia ya kununua tuwasiliane 0685 810 420, tutapeana maelezo zaidi ikiwemo pia kuelewana.
Karibuni
Mkuu nicheki fastamkuu nipm tufanye biashara nina 5 kamili
Nicheki mkuuKiwanja kipo: Mbezi Malamba mawili, Mzalendo Steet
Ukubwa: 26" x 20"
Bei : 12M
Eneo: Zuri sana kwa makzi na biashara
Mwenye nia ya kununua tuwasiliane 0685 810 420, tutapeana maelezo zaidi ikiwemo pia kuelewana.
Karibuni