Kiwanja kinauzwa Dodoma

somji

Senior Member
Jan 11, 2015
113
65
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mjini NALA BP. Karbu na chuo kabisa.
Ni Kiwanja cha Makazi kina ukubwa wa 569 Square mita. Huduma zote zipo maji na umeme. Kipo Barabarani. Kimepimwa na HATI. BEI 5.5M .

Mawasiliano; 0687312076.
 
Habari wadau,
Kwa wale walio na ufahamu ,uzoefu na upana wa mpango wa Mji wa Dodoma ya leo na ya kesho naomba mnishauri kama ni sahihi kuwekeza katika ardhi kwa kununua kiwanja kilichoainishwa kwa matumizi ya Makazi & biashara kule NALA Dodoma.

Nitafurahi kama unaweza kunipa sababu za ushauri wako.

Note: Nimeambiwa maeneo hayo ya NALA (14km from City Cetre) kunatarajiwa kujengwa Campus za Universities kama IFM and St. John

Ubarikiwe kwa ushauri wako.

Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom