golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
- Thread starter
-
- #141
Toa 4m, nyingine 1.7m utamalizia.Nakupa M4 net tusidaiane.
Angalizo; kisiwe na magumashi ya kina "kitomari" otherwise bereta itakuhusu make sitakagi ujinga mimi hela yenyewe napata kwa mbinde kwelikweli.
Kumbe, ila nauza 5.7m pia Kwa awamuHiyo ni bei ya nyumba kwa sasa
Umeona huo msingi lakiniKwa bei hi 20*20 utasubiri sana. Mzunguko baba wa hela mgumu
HahahahaUnatoa taarifa ama unauliza?
Mkuu documents zinafafanulikaje? Maana kwa hawa viongozi wa mtaa ni magumashi sana! Toa ufafanuzi kisha tuhamie pm mhandisikaribuni
Mkuu kila kitu kipo sawa, kila kitu kinaelezewa, we njoo pmMkuu documents zinafafanulikaje? Maana kwa hawa viongozi wa mtaa ni magumashi sana! Toa ufafanuzi kisha tuhamie pm mhandisi
Mwenye mali, mnunuaji, mashahidi, mwenyekiti wamtaa, wote tunasaini. Pia kuna fomu maalumza halmashauri, ndio wanatumia wenyeviti wa mtaaMkuu documents zinafafanulikaje? Maana kwa hawa viongozi wa mtaa ni magumashi sana! Toa ufafanuzi kisha tuhamie pm mhandisi
Mkuu kimyaMkuu documents zinafafanulikaje? Maana kwa hawa viongozi wa mtaa ni magumashi sana! Toa ufafanuzi kisha tuhamie pm mhandisi