Kiwanja cha 17m kwa 35m kinauzwa millioni 5 kipo Chanika Masantula karibu na shule ya Tungini, Note: ni vipande vinakatwa kutoka eneo kubwa kwa hiyo kuna flexibility ya eneo la kiwanja kupimwa kutokana na matakwa ya mteja ( ni maelewano tu)...