El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
Habari za mchana wa jf,kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nimechoka kulipa kodi.bajet yng inaanzia mil 1.3.nawasilisha
Kipo bagamoyo kijiji cha mwavi kama unaenda msata bei mil 1.5 karibu
Size gani
Chanika ya wapii mkuuNjoo chanika nikupe kiwanja kwa1,5 utajutia
Asante mkuu kwa shuguli zng uko sitawezaKipo bagamoyo kijiji cha mwavi kama unaenda msata bei mil 1.5 karibu
Wewe unapendelea maeneo gani?Habari za mchana wa jf,kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nimechoka kulipa kodi.bajet yng inaanzia mil 1.3.nawasilisha
Njoo chanika nikupe kiwanja kwa1,5 utajutia
Unamjua Werema mura ?Njoo huku butiama ,kijiji cha masurura kuna kiwanja ntakupa kwa laki 3.
Majukumu yameshakutinga, acha kusingizia umechoka kulipa kodi...Habari za mchana wa jf,kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nimechoka kulipa kodi.bajet yng inaanzia mil 1.3.nawasilisha
Namjua mkuuUnamjua Werema mura ?
Chanika mwisho kkChanika ya wapii mkuu
Andika namba kwa umakini,haijatimiaNjoo nikuuzie Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road 20x20 bei 1.8m. Waweza kuunganisha hata zaidi ya kimoja. 075540051
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok sorry ni 0755401051Andika namba kwa umakini,haijatimia