UJANJAUJANJA
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 226
- 123
Wana JF,
Kuna mradi wa viwanja ambayo ulikuwa initiated na mwajiri wangu na viwanja hivyo vipo Kiluvya. Kwa maelezo ya awali,sisi tuliyoomba viwanja hivyo ilikuwa mwajiri atulipie kisha awe anatukata kwenye mishahara yetu.Ghafla amebadilisha upepo na sasa anatutaka tulipie kwa "cash" na hiyo pesa kwa sasa mimi sina.Kama kuna mtu anahitaji kiwanja hicho basi ani-pm ili tuone tunafanyaje aweze kukinunua yeye na mimi walau nisiondoke mikono mitupu (walau niwe kama dalali tu). Mwisho wa malipo ya viwanja hivyo ni tarehe 30/11/2013 na mara baada ya malipo Hati inatolewa kwa aliyelipia ndani ya siku 90. Whoever is interested,let us make a deal for the benefit of both parties.
Nawasilisha