Kiwanja kinauzwa kiko Mwanagati,
Kimepimwa katika viwanja vya mradi vya Serikali.
Kiwanja kina ukubwa wa 624-Sqm.
Bei ni Tshs 16Mil (TZS 16,000,000/=) na maongezi yapo.
Mimi ni Mwenye Kiwanja,
Contact : 0787 504 047
Mwanagati ni wapi.
Barabara kuu ya kukufikisha Mwanagati ni ile inayoingilia Banana, kupitia Kipunguni na Kitunda. Alama kubwa ni Shule ya Sekondari Mzinga. Huko kuna eneo lililopimwa chini ya Mradi wa Viwanja 20,000. Kuna makazi yanayokuja juu kwa kasi na tayari kuna huduma nyingi muhimu. Pia kuna barabara inayotokea Tandika ambayo kwa wanaofika maeneo ya City Centre ni rahisi zaidi.
Kwa ujumla mandhari hapa ni tambarare, udongo unaotawala ni kichanga. Kuna barabara za mitaa zilizowekwa wakati wa upimaji, na maji yanapatikana kwa kudrill ardhi wastani wa mita 60. Maji yanayopatikana ni baridi. Ni eneo ambalo nyakati za jioni, kuna mkondo wa upepo unaopita na bila shaka kwa wale wanaopenda utulivu mbali na kelele za magari, huku watapapenda.