Kiwanja arusha

Ghost

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2010
Posts
428
Reaction score
53
Natafuta kiwanja Arusha...nina million 10..:A S 465:
 
Its just a name...don't get it twisted..duh
 
Ongeza kidogo mkuu 18 milioni unapata kiwanja kizuri 30 x 50 maeneo ya Sakina kwa Idd.
 
@ FL1, thx for understanding...

@Ngongo, mbona bei kubwa hivyo...lakini ni maeneo gani pale Kwa Idd? Ni ndani sana au karibu na barabara...??
 
@ FL1, thx for understanding...

@Ngongo, mbona bei kubwa hivyo...lakini ni maeneo gani pale Kwa Idd? Ni ndani sana au karibu na barabara...??


Kabla ya lile hekalu la New life kuna barabara pia nguzo ya umeme iko karibu na kiwanja huna sababu za kutaabika nyumba itakapomalika unawaona TANESCO wanakuvutia service line bila zengwe wala chenga.Mkuu kama haujaridhika nitakuulizia sehemu nyingene inayoendana na pochi lako.
 
ntashukuru mkuu.....endelea na zoezi la kuniulizia..
 
kuna jamaa alikua anauza viwanja maeneo ya moshono.. kama upo interested na huko niambie
 
Preta, alikua ana uza kati mil 5 mapaka 8.
Magpie na Wiselady...nisaidieni tafadhali..nipeni details zaidi..au kuna mtu mnamfahamu nipeni contacts zake..asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…