Kuna muda inakua ina changanya sana, kwa mfano ulikua na kazi yako unalipwa vizuri ghafla uka fukuzwa kazi, unaanza tena kutafuta kazi halafu ulikua umezoea kuishi maisha Fulani hivi Kwa sababu unalipwa vizuri. Unaanza harakati za kutafuta kazi, unashangaa unatajiwa pesa ndogo au mshahara mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.