Kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira katika nchi na maeneo mbalimbali duniani

LEXAPRO3000

Member
Jul 20, 2013
61
99
audiotech.png

South Africa: 55% Greece: 50% Spain: 45% Italy: 37% France: 23% Turkey: 17% UK: 13% US: 10.4% Germany: 7% Japan: 5.8

Tanzania 13.70% (2013/2014), Uganda 5.4%, Rwanda 0.8%, Kenya 17.6%

European Union 18.5% ,Heavily indebted poor countries (HIPC) 12.4%
Least developed countries: UN classification 11.2%, Sub-Saharan Africa 15.7%

SOURCE: ILO, TradingEconomics
 
Hii ni ya wenye ajira maana ukisema ni ya wasio na ajira inamaana kwa tanzania haiwezekan wasio na ajira wakawa 13.7% sio kwel hata kidogo ila kinyume chake ndo ukwel wake
 
Hii ni ya wenye ajira maana ukisema ni ya wasio na ajira inamaana kwa tanzania haiwezekan wasio na ajira wakawa 13.7% sio kwel hata kidogo ila kinyume chake ndo ukwel wake
nimekuelewa sana....hizo takwimu kwa tanzania siyo sahihi
 
Umesoma heading vizuri ukaelewa?
Nimesoma mkuu..
Ila km heading inasema kiwango cha and wasio na ajira
Angalia Tz kweli ndo kiwango cha 13% ndo hawana ajira????.
Wako wengi zaid ya asilimia hiyo ndo maana nimeuliza
Wenye ajira rasmi I think may be ni 15% na vibarua 25% and the rest ndo hakuna ajira.
Ugumu unaanza kwenye mfumo wetu wa elimu.
Unalazamisha kujifunza ili uajiriwe ndo maana hata zile shule zilizokuwa za Tec hazina tena nguvu maana hakuna muendelezo wakimaliza six...
 
We still have a long way to go my friend.....Ukombozi wa kifikra kwa viongozi na wananchi ndio suluhisho la kila kitu..Haya Mengine ni kelele tuu na hatutafika popote..
 
Swali kuu ni kwamba hizi data za mwaka gani?
Bila shaka hizi ni data za enzi za Mwalimu, vijana walikuwa na kazi, fomu za kujiunga na majeshi zililetwa mashuleni ukimaliza la saba unajiunga na jeshi ulipendalo, viwandani geti kuu nje kulikuwa na black board ya matangazo na ilisomeka hivi....

Nafasi za kazi zipo, position na idadi, lakini zile black board sasa zimegeuzwa matumizi, matangazo yamebadilika ni hakuna kazi, na usisimame hapa. Tooobaa twaafa.

Hiyo ripoti ni ya uongo mtupu kama bajeti ya serikali.
 
Wanataka kujenga nchi ya viwanda Kabla hawajaanza kutengeneza malighafi!!!,

Tutakuwa na faida gan kuwa na viwanda Kama izo malighafi tukiagiza toka njee maana hatutakuwa na viwanda vya kutengeneza Machine nzito ivyo tutakuwa na processing industry ambayo raw materials inakuwa ni malighafi toka shamba

Kwa miaka hii miwili wangetoa nafasi kwa kilimo,ruzuku na pembejeo... wangekuza kilimo cha biashara na chakula...
Then ndo tuje na viwanda.
Japo kuna hoja ya msingi siielewi.. viwanda vinakuwa vya serikali au wawekezaji.....
 
Back
Top Bottom