Ni matumaini yangu kwmb wana jf mpo poa!naomba kujuzwa kiwango cha mishahara kwa hawa wakala wa barabara tanzania TANROADS hasa kwa nafasi za WEIGHBRIDGE OPERATORS!Nimeona salary scales km vile TAN SCALE 3.1,TAN SCALE 4.1,TAN SCALE 5.1,TAN SCALE 6.1 ila sijajua kiwango halisi kw izo scale zao!naomba mwenye info zaidi anisaidie!nawasilisha kwenu great thinkerz thanks!