hebu nisaidie mkuu,nilisaini mkataba juzi na kwenye salary pameandikwa 464000/=*6000=506,000 afu then your entry salary will be 464000/= hapo cjaelewa kiasi ebu nidadafulie kama unaelewa
Gross Pay
500,000
PAYE
38,900
NSSF
50,000
Net Pay
411,100
Non-Cash Benefits
50,000
Allowable Deductions
100,000
Taxable Pay
450,000
Kwahiyo kodi ni 38900
Hii serikali kwa hizi kodi wanazotukata kwakwl tunahitaji serikali mpya,vifuatavyo ni baadhi ya viwango vya mshahara kabla ya makato (gross) na unachokipokea mkononi (net pay/take home).
gross take home
300000-213000
400000-339000
500000-410000
600000-480000
700000-550000
800000-610000
900000-680000
1M-744000
1.2M-858000
1.3M-915000
1.5-1M
2M-1.3M
Kwa viwango vngne vya mishahara mnaweza mkaniuliza hasa kwa mnaoenda kunegotiate bila kufahamu take home
Hiv mshahara wa askar ni shiling ngp
Hivi PAYE huwa ni percent ngapi?