Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,421
- 6,494
Kiwango cha kuishi huko Gaza kabla ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 kulikuwa 75.5 lakini sasa hivi ki sporo oka kwa kiasi kikubwa na kuwa 40.6 baada ya mashambulizi ya Oct 07,2023
Kiwango cha wao kuishi kimepungua sana kutokana na mambo wanayoyafanya na wengi huna katika vurugu na wengi sana kwa kujihusisha na Ugaidi na uhalifu mwingine unaofanana na huo.
Kwa hali hiyo ni ngumu sana kuwa kuta wazee wa miaka 75-80 wengi wao wanakufa kutokana na Ugaidi au vurumai zinazofanana na hayo.
Cha kushangaza inaonyesha jinsi maisha yao yalivyokuwa mazuri kabla ya Oktoba 7, kabla ya kuamua kufanya Ushenzi Oct 07,2023