Wakuu habari za Leo naombeni msaada mwenye taarifa zozote juu ya mtaji, gharama za mashine, malighafi Kodi na tozo zote za serikali anisaidie hapa zinazohusiana na kiwanda kidogo Cha mafuta ya alizeti
Natanguliza shukrani π

Sasa hiyo si unaweza kutafuta kwa namna nyingine, for sure itakupa way more than real time data, naitumia kwenye mambo yangu mengi, kiukweli naiamini kuliko wanaojiita experts