Mzee Mchochezi
Senior Member
- Apr 3, 2018
- 125
- 244
Mara mbili ya Kikwete?Saivi msafara wake una gari 40 watakuja wote
Ndio yenyewe mkuu tena ya papaiHii si ni Gongo mkuu? Yaani jiwe aje kuzindua kiwanda cha Gongo? Too much,ila atakubali tu,hebu mjaribu!
160 kapunguza lini? Yalikuwa 200Saivi msafara wake una gari 40 watakuja wote
Ndio kichomiMara mbili ya Kikwete?
na wasi wasi na mtoa uzi huenda viroba vimeshamuathiri sana.kejeli,matusi,kashfa si utamaduni wetu uvccm.hatutamvumilia yeyote yote anayeleta kejeli kwenye mambo ya msingi ambayo kuyajadili inabidi uweledi wa hali ya juu utumike.nina mashaka na uraia wako mtoa uzi huenda wewe ni mhutu.
Hmmmm!!!!
Kumbuka kuwa HAJARIBIWIHii si ni Gongo mkuu? Yaani jiwe aje kuzindua kiwanda cha Gongo? Too much,ila atakubali tu,hebu mjaribu!