Kiwanda chalipuliwa Israel

Kiwanda chalipuliwa Israel

Status
Not open for further replies.
Mimi ni mkristo lakini nimefumbuka...wapalestina wanaonewa....na dunia inalijua hilo. UN imejaribu mara kadhaa kupitisha azimio; lakini marekani kwa sababu zake za kibinafsi inatumia kura ya VETO kuhakikisha hakuna azimio lolote juu ya hii issue (UN resolution)


Nadhani ugomvi wa israel na parestine ni wa ardhi aka mipaka sasa udini unakujaje apa??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom