Kiwanda cha silaha Rwanda

Kiwanda cha silaha Rwanda

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Pichani, ni badhi ya silaha zinazounganishwa nchini Rwanda, kwa ushilikiano wa jeshi la Rwanda na la Israel, kupitia kiwanda cha Rwanda Engineering and Manufacturing Corporation (REMCO).

Silaha hizi zimeonyeshwa kwa mara ya kwanza hadhalani, kwenye kikao cha pamoja kinachojadili maswala ya usalama duniani, kinachoendelea nchini Rwanda.

ARAD5/300BKL
ACE SNIPER
ARAD SNIPER
NEGEV ULMG

Silaha hizi zipo kazini tayari, zinatumiwa na jeshi la Rwanda na la Israel, na mikakati ya kuboresha mikataba kwa ajiri ya kuuzwa nje ya nchi.

Taarifa zinasema kwamba, baada ya madini mbali mbali yanayotumiwa kutengeneza siraha, yanapatikana nchini Rwanda, ni swala la muda tu, kuweza kuanza utengenezaji kuanzia zero mpaka zinaingia sokoni.

Mbali na silaha, kuna vifaa vya kijeshi kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.
1747692172851.png






1747691744369.jpeg


1747691760298.jpeg


1747691778126.jpeg


1747691798841.jpeg


1747691818675.jpeg



1747691905046.jpeg
 
Back
Top Bottom