Kama unatumia Mandela Road shuka kituo kinaitwa GerejiNataka kwenda kiwanda cha Royal Soap kilichopo Mabibo nataka nijue kipo mabibo sehemu gani mabibo kubwa.
Anayejua kilipo anipe direction
Yap, utakua umefika. Endapo unatokea upande wa Ubungo basi ni upande huo huo wa kushoto na kama umetokea upande wa Buguruni vuka barabara upande wa pili utakiona kam hujiamini nasi uliza kilipo kiwanda cha sabuni cha MONikishuka nishafika