Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,435
- 1,621
Hayo mambo ndio yanayotakiwa.Nakumbuka Magufuli alifungua kiwanda cha hivi kule Mbeya, mmiliki akiwa ni kijana mdogo tu
Tanzania ya viwanda inawezekana, kama tulivyoweza kwenye SGR kwa kuwa na treni nzuri, za uhakika na nauli rafiki kabisa, ya chini kuliko mabasi, tunaweza kuwa serious kwenye shirika la ndege, nauli zikawa zinazokidhi uhalisia wa watanzania, tukawa na mwendokasi za uhakika kama hizi zilizopo sasa, na huduma iwe inatolewa kwa wakati. SGR ndio iwe shirika la mfano (model)Hayo mambo ndio yanayotakiwa.
Hii nchi wakulima ni 80 (Viongozi wa nchi, Wanasiasa, Wafanyabiashara na Wananchi wa kawaida). Cha ajabu hakuna mchocheo wowote eti.
Leo hii Mchele tunapimia kwa mokopo na maeneo mengine wanatumia mizani. Leo hii kweli miaka 65 ya Uhuru vyakula tunapimia kwa mizani!?... alafu tunaona sawa.Tanzania ya viwanda inawezekana
Ugumu unao wewe. Nenda shule tena.Kiswahili kigumu mno.
Kumbe mpaka kuna kiwanda cha mchele.
Hamna kiwanda cha Mchele hii duniaUgumu unao wewe. Nenda shule tena.
Nimekuelewa wazo lako. Nia yangu haimo kwenye ushindani na wewe.Hamna kiwanda cha Mchele hii dunia
Hizo mashine ni zakawaida sana. Bongo hii hakuna hizo Heavy Duty Rice Mill brother. Zilizopo nyingi haziwezi kuhudumia hata tani 5 mpaka 10 kwa siku. Mimi nazungumzia ni heavy weight machine brother hapa bongo.Processing plants zipo za kutosha na za kisasa sana tembelea Lohumbo/Didia, Kagongwa-Shinyanga, Ifakara ndio utajua ni kwa kiasi gani watu wanapushi mchele kimataifa.
Halmashauri wanavuna sana maokoto hata sasa. Tatizo ni uchepushaji wa ushuru huo kwenda kwenye mifuko ya watu binafsi.
Cha kupigania ni viwanda vya nyama na maziwa katika mikoa ya wafugaji kama Shinyanga, Mara, Kagera, Katavi, Ruvuma na Tabora ili nyama, maziwa na ngozi ziende nje.
Fursa hio ifanyie kazi.Habari Tanzania !...
Kwanini hatuna kiwanda cha kuchakata mpunga kuwa mchele yaani ile Heavy Rice Mill ambazo aidha ziwe kikanda au kimikoa. Hapa nachochea hali ya kuwa na uwezo wa soko kubwa na upatikanaji wa bidhaa kirahisi na bei za mchele uwe kitonga.
1. Ajira za moja kwa moja zitakuwa nyingi sana.
2. Soko la mchele litakuwa kubwa sana.
3. TRA na Halmashauri mtapiga hela mpaka mchanganyikiwe.
4. SUA mtakimbiliwa na watu kwa huduma ya mafunzo ya muda mfupi nyie.
NB
Hii nchi haya bwana.
Mimi fursa naiona kwako bwasheeeFursa hio ifanyie kazi.
Hiyo heading ndio iliyonifanya nikafungua huu uzi,Kiswahili kigumu mno.
Kumbe mpaka kuna kiwanda cha mchele.
Najaribu kukuelewesha tu hakuna mashindano.Nimekuelewa wazo lako. Nia yangu haimo kwenye ushindani na wewe.