Kiwanda cha Mafuta Iran chalipuka

Kiwanda cha Mafuta Iran chalipuka

Iran inaitakia nini Israel huku Iran inagongwa kila wakati huko Syria inachakazwa huko kwake Teheran wanasayansi wameuawa bado milipuko mingi inatokea iran
Hii habari ya uongo hata aljazeera nimeisaka haipo.
Poleni najua mna ndoto ya kuona Iran ikianguka .
ILA MWAMBIENI BWANA WENU MZAYUNI IRAN NI MUHAJEMI ALOSHINDIKANA NA MAREKANI NA WASHIRIKA WAKE TOKA MWAKA 1979 NA SIO MWAARABU.
IRAN IS PERSIAN NOT ARABIAN ENDELEENI KUOTA.
 
Taarifa ya zamani unaitafuta leo??? acha kujitoa ufahamu ndugu
 
Taarifa huwa zinatunzwa ndugu.
Aljazeera taarifa ya 2005 ukiingia website yake unaikuta.
Au unadhani hiyo TBC au ITV???
Mkuu hii taarifa ipo na ni kweli ajali ilitokea hakuna haja ya kubishana wee gugo utaipata
 
Back
Top Bottom