Kiwanda cha Mafuta Iran chalipuka

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
13,864
2,000
Israel waoneeni huruma Wairan! Jana tu kumetokea mlipuko mkubwa sana kwenye kiwanda cha Iran cha kutengeneza ndege vita zisizo na rubani na leo tena kumetokea mlipùko na moto mkubwa sana kwenye kiwanda cha kuchakata mafuta cha Iran , dah!

The refinery was inaugurated by Iranian President Hassan Rouhani just a few months ago, with an expectation of generating about $1 billion in revenue for Iran. The large fire was reported at the Kangan Petro Refining Co. (KPRC) in southern Iran along the coast of the Persian Gulf on Monday, just a day after an explosion reportedly impacted a drone factory in the center of the country. According to Iranian media, a fire at the waste warehouse at KPRC with no injuries reported in the fire. Video footage reportedly from the scene of the fire showed large amounts of smoke billowing out of a warehouse.

The cause of the fire has not yet been reported and is still under investigation.

The fire comes just a day after nine people were injured in an explosion. The Guardian reported on Sunday that the blast actually took place at the Iran Aircraft Manufacturing Industrial Company (HESA), which produces a variety of aircraft, including drones, for Iranian and pro-Iranian forces and is also located in Shahin Shahr.

The explosion was linked to the shooting down of a drone by Israel near the Jordanian border last week, the report said. Prime Minister Benjamin Netanyahu said it was an Iranian drone sent from either Iraq or Syria. The IDF collected fragments of the destroyed aircraft for further examination.

The news of the fire and the explosion comes just days after Iranian officials reported major progress in negotiations on renewing the Iran nuclear deal.

Last Thursday, Rouhani said all parties to the talks have agreed to lift “all major sanctions” on Iranian oil, petrochemicals, shipping, insurance and the central bank.

Last year, a series of explosions and fires hit industrial sites across Iran, including a number of petrochemical plants. Iranian officials referred to most of the cases as incidents or accidents, although some reports have claimed that at least some of them involved foul play.

Mtu anapigika kisayansi hamna haja ya ndege vita.​

FB_IMG_1622174703511.jpg
 

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
13,864
2,000
Fake hadi hiyo picha? Anyway, ngoja tucheki vyombo vingine vya habari hasa vya Saudia, China na vile vya magharibi, najua hili tukio, TV ya Iran haiwezi kutangaza, kama tu ambavyo BBC, SKY news nk hawakutangaza yale maandamano ya Waingereza waliokua wakipinga mambo ya corona kule Uingereza
Anarukaruka wakati wenyewe wanakiri
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,590
2,000
Juzi mlikuja na uzi hapa sijui kiwanda cha drone mpya charipuka, leo pia mnakuja na uzi mwengine wa magazeti ya the Guardian na magazeti na mengine kwamba kiwanda kimeripuka wakati hizo habari hazipo kwenye vyombo vyengine na mapicha ya kiwanda cha Saudia mmetuletea, kwasasa hio haiwezekani labda kwenye ndoto
Screenshot_20210528_090132.jpg
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,590
2,000
Fake hadi hiyo picha? Anyway, ngoja tucheki vyombo vingine vya habari hasa vya Saudia, China na vile vya magharibi, najua hili tukio, TV ya Iran haiwezi kutangaza, kama tu ambavyo BBC, SKY news nk hawakutangaza yale maandamano ya Waingereza waliokua wakipinga mambo ya corona kule Uingereza
Hawa jamaa ni chawa pro, juzi walikuja na habari hio, hicho chombo hapo kwenye picha ni chakizayuni leo wenyewe wamepinga wanasema ni fake news
Screenshot_20210528_090032.jpg
 

Nyonzo bin mvule

JF-Expert Member
Sep 19, 2020
496
1,000
Eheee kikishalipuka icho kiwanda ndo nn, kwani mbona congo kumetokea volcano na juzi apa bongo crane ya kunyanyulia mizigo imeingia kwenye maji,, au hizo zote zimetokana na hilo mnaloliita taifa la mungu? Mijinga kabisa nyie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom