Khaleed Shaban
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 399
- 58
Habari zenu wana JF
Naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu mahali ambapo kuna kiwanda cha kutengeneza mifuko ya plastiki au ya nailoni kwa hapa Dar es salaam
Ahsanteni
Habari zenu wana JF
Naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu mahali ambapo kuna kiwanda cha kutengeneza mifuko ya plastiki au ya nailoni kwa hapa Dar es salaam
Ahsanteni
Umeamsha maumivu. Nikisikia plastiki tu napata hasira za ajabu.Habari zenu wana JF
Naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu mahali ambapo kuna kiwanda cha kutengeneza mifuko ya plastiki au ya nailoni kwa hapa Dar es salaam
Ahsanteni
Over my dead body!assist please
Over my dead body!
Watu Wengine bwana!
Yananihusuje?Watu tunamaumivu ya kuokota mifuko ya plastiki inayohifadhi mavi barabarani wewe unauliza utapata wapi! watu wengine bwana!
usiulize bidhaa inayokera majority ya watu! it has been years wananchi wanaoma hizo kampuni zinazotengeneza mifuko ya plastiki ifungwe. wewe unaibuka na kutafuta kampuni hizo. unakera!Yananihusuje?
Endelea kukereka majority wanatumia bidhaa hizo hizousiulize bidhaa inayokera majority ya watu! it has been years wananchi wanaoma hizo kampuni zinazotengeneza mifuko ya plastiki ifungwe. wewe unaibuka na kutafuta kampuni hizo. unakera!
Website nyingi za Tanzania ni mapambo tu,,,hii haifanyi kazi
Endelea kukereka majority wanatumia bidhaa hizo hizo
Ibuka na bidhaa mpya biashara zifanyike
Siyo unaropoka tu.
Be the change you want to seekuna ubunifu mwingi tu unaweza kufanyika. Serikali ipige marufuku bidhaa hizo. Atakaekamatwa anatumia mifuko hiyo jela miezi mitatu.
2/ Kampuni ya kutengeneza khanga itengeneze cheap mifuko ambayo inaweza kutumika kama mbadala wa mifuko hiyo. Kampuni hizo zinaweza hata kutumia reject khanga au vitenge kwa shughuli hizo. But ili haya yaweze kutkelezeka Januari Makamba apelekwe Wizara nyingine. Ni Msomi mzuri lakini kwa hili kashindwa. Walau Makonda anakuja na mbinu zitakazoweza kutatua tatizo hili eg wazo la kutumia vijana wa JKT katika kusafisha jiji letu (including hiyo bidhaa iliyolaaniwa ya plastiki!)
Yes I am. I never use plastic! Natumia mifuko ya khanga and it is woking perfectly well.Be the change you want to see
All the best.Yes I am. I never use plastic! Natumia mifuko ya khanga and it is woking perfectly well.
assist please
Ok nitakupigiaHabari, ninafanya kazi kwenye moja ya kiwanda unachohitaji. Unaweza nicheki kupitia 0685065905