Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,656
- 21,083
Viwanda vingine vinasafirisha vipi makaa yake ya mawe?ni muhimu kuanza kuona inefficiency za logistics Tanzania, kutoa makaa ya mawe kusini kwa Tanzania ni either unatumia lori au treni au both (nadhani hii ndiyo inatumika), halafu yafike Dar es salaam, halafu yaende lindi, au yapite tunduru hakuna hata lami. Jamani this is stupid decision hata kama makaa ya mawe upewe bure , gharama za usafiri zitakumaliza. shida ya nchi yetu ni kukurupuka, strategically nchi inalose, kwani wawekezaji wote wanasikia na information hii inatuumiza kama nch, na ni kuwa maamuzi ya uongozi uliopita hayaheshimiwi na uongozi wa sasa, hi trend siyo nzuri