Kiwanja kinauzwa kigamboni

Kiwanja kinauzwa kigamboni

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
kiwanja kipo kigamboni wilaya ya temeke
kina ukubwa wa sqm 1,100
kipo gezaulole, ni km 16 kutoka feri ya magogoni
kimepimwa na kina ofa.
Kipo umbali wa hatua mita 30 kutoka barabara ya lami.
Kinauzwa 36m.
Mawasiliano: 0657 145555, 0685 31 23 26

mi ni dalali.

kwa mahitaji ya kiwanja hicho na vingine vingi tuwasiliane
 
nitafutie cha 2mil dalali
 
Akiri ntafutie eka moja iwe flat na square sio lazima iwe imepimwa ila iwe kwenye makazi kuwe na nyumba hata mbili tatu majirani kibugumo,gezaulole sio mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Akiri ntafutie eka moja iwe flat na square sio lazima iwe imepimwa ila iwe kwenye makazi kuwe na nyumba hata mbili tatu majirani kibugumo,gezaulole sio mbaya.

King Kong III,

Ninayo eka 1 Kibugumo, kuna banda na mimea kama inavyoonekana kwenye picha, haijapimwa. Jipangie bei mwenyewe, ikiniridhisha nakuuzia!View attachment 132249View attachment 132250 961.jpg
 
Akiri ntafutie eka moja iwe flat na square sio lazima iwe imepimwa ila iwe kwenye makazi kuwe na nyumba hata mbili tatu majirani kibugumo,gezaulole sio mbaya.
sawa kiongozi hizo zipo ni pm unipe number yako nikupeleke ukalipe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom