Kiwanja kinauzwa Kigamboni kina sqm 2720

Kiwanja kinauzwa Kigamboni kina sqm 2720

mwangambaku

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
109
Reaction score
22
Kiwanja kinaunzwa eneo la Kigamboni Dar es salaam. ni umbali wa km 23 kutoka Feri ya Magogoni.kipo eneo la cheka karibu kabisa na ujenzi wa Apartment za kisasa za akiba,ukipita hizi Apartment kipo mkono wa kushoto kama unaenda kimbiji, na ni umbali wa nusu km kutoka barabara kuu

kimepimwa na kipo enoe la makazi kipo Tambalale hakiingiliana kwa namna yoyote na mradi wa viwanja wa Kigamboni . tayari ujenzi wa nyumba za makazi unaendelea katika eneo husika .
bei ni 20million.

Kwa anayehitaji tuwasiliane.

Havilla estate
Simu 0755 099 291 au 0719 835 315
Ilala
Dar es salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom