Tofauti yake ni mpunga na namna ya uwendeshwaji wake.Mshindi wa kivumbi cup anapata mil 20 ukiachana na hilo, man of the match anapata laki 5, kiungo Bora anapata laki 5, kipa Bora anapata laki 5, kiungo Bora anapata laki 5 na mchambuliaji Bora anapata laki 5 hapo tu unaona utofauti teyali.Lengo la wasafi ukiachana na kukupa platform ya kuonekana live cos haya mashindano yanarushwa live pia unapata fursa ya kuongeza kipato Mfano Kama kijana atakuwa man of the match Mara 4 atapata mil 2 teyali kijana umasikini atakuwa ameuaga Kama atatumia vizuri hiyo hela lakini pia watapatikana vijana wenye vipaji vikubwa kwenye hiyo michuano wasafi watawachukua kuwatafutia team za nje ya nchi ila vijana hao wawe tu na umri chini ya miaka 18.
Me mwenyewe nimeshangaa msela hiyo ndio platform wa vijana kuonekana na kupata kipato we fikiria wasafi wametoa fursa atakwawanaoibuka man of the match, wamesema ataeibuka man of the match atapata laki 5 hapo ujazungumzia beki Bora, kiungo Bora, mchambuliaji Bora,kipa bora.kwa maana Hiyo wametoa fursa pana kupata mpunga Mfano ukiibuka man of the match Mara 2 tu unapata mil 1 hiyo ni hela kubwa Sana.Imagine kuna dogo kitaa anatamani sana kupitia hii fursa atoboe halafu wewe unaleta hates ambazo hazina msingi wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona virus jipya kbs
Tatizo siku zote ni fikra za watu, waasisi wa mashindano ya mpira wa miguu mitaani si Clouds wala Wala Wasafi.Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
Wewe tofauti unataka ya nini?
Ndondo cup iko miaka mingi sana mkuu, clouds wameibeba tu , ila iko kitambo sanaClouds Tv ilipoanza vipindi vingi ilikopi EATV, Redio wasafi ilipoanza walikopi muda wa vipindi vya michezo kutoka EFM. Sasa wamekopi ndondo cup ya Clouds na kuiita Kivumbi cup halafu we unasema wazo kapata kwa Eto'o? Ahahaha. Ubunifu zero!
Tegesha Tigo ukuingieMkuu mbona una maneno marefu kama mkojo ghorofani...!
TakatakaTatizo siku zote ni fikra za watu, waasisi wa mashindano ya mpira wa miguu mitaani si Clouds wala Wala Wasafi.
Kila mtu ana nafasi ya kufanya anachoweza kikubwa ubora tu, ni ujinga kufikiri flani anafanya sababu kaiga kwa flani ni upumbavu zaidi kuamini flani hapaswi kufanya ati kwakuwa mwingine anafanya.
Huna akili.Imagine kuna dogo kitaa anatamani sana kupitia hii fursa atoboe halafu wewe unaleta hates ambazo hazina msingi wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Media stakeholdersWho care....?
corona virus ni version mpya ya SARSCorona virus jipya kbs
Hata takataka huwa itakiwa, takakata kuna watu wanaitaka.Takataka
Wewe tofauti unataka ya nini?
Anzisha chako cha tofauti.
Tofauti yake ni mpunga na namna ya uwendeshwaji wake.Mshindi wa kivumbi cup anapata mil 20 ukiachana na hilo, man of the match anapata laki 5, kiungo Bora anapata laki 5, kipa Bora anapata laki 5, kiungo Bora anapata laki 5 na mchambuliaji Bora anapata laki 5 hapo tu unaona utofauti teyali.Lengo la wasafi ukiachana na kukupa platform ya kuonekana live cos haya mashindano yanarushwa live pia unapata fursa ya kuongeza kipato Mfano Kama kijana atakuwa man of the match Mara 4 atapata mil 2 teyali kijana umasikini atakuwa ameuaga Kama atatumia vizuri hiyo hela lakini pia watapatikana vijana wenye vipaji vikubwa kwenye hiyo michuano wasafi watawachukua kuwatafutia team za nje ya nchi ila vijana hao wawe tu na umri chini ya miaka 18.
Hata vipindi unavyovisikia Media nyingine ni copy ya vipindi vya media mostly kutoka western sena zimekuwa customized kulingana na mazingira yetu.Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa