boat ya mwendokasi kwenda Bagamoyo- kwenda Dar INASHUKA LEO Kutoka CANADA
Kwani hiyo boti itawasaidia watu wa bagamoyo pekee? Akili mgando hiziBora afanye fasta kuwapa kila kitu wa Bagamoyo maana akitoka madarakani wasahau
Kwani hiyo boti itawasaidia watu wa bagamoyo pekee? Akili mgando hizi
Hivi mbona siku hizi kila mradi lazma bagamoyo ufike? Kwanin ?
Hapo ilikuwa test.View attachment 203051
boat ya mwendokasi kwenda Bagamoyo- kwenda Dar INASHUKA LEO Kutoka CANADA
Hivi mbona siku hizi kila mradi lazma bagamoyo ufike? Kwanin ?