Kivuko cha 7.8m[emoji848][emoji848]

Mmmmh Kama Ni kweli Basi CCM wengi tutakuwa mabogus Kama sio baadhi
 
Tutofali tuwili jumlisha tumfuko tumoja wa sumetiii.
 
Mnashangaa kivuko cha m7.8?hamjawahi kuskia ofisi za walimu zilizojengwa kwa milioni 200? Vyumba vitatu tu m200
 
Daraja hili litakuja kuzinduliwa na kiongozi wa mbio za mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…