VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Huko DRC, Kivu kuaini, inasemekana jeahi la serikali na wasaidizi wake,leo na jana wamemimina risasi kwa kutumia silaha nzito,katika makazi ya wanyamulenge.
Msemaji wa AFC/M23 Lawrence Kanyuka, amesema hali hii inailazimu M23 kuingia vitani kuwalinda raia wanaouliwa bila hatia.
M23 hata hivo, imekuwa ikiwanyanganya FARDC na washilika wake maeneo mengi wanapokutana uwanja wa vita.