Mbona yuko poa tu! Tatizo wabongo wengi hawajui kuvaa yaani wanavaa kwa mazoea tu hawana art ya kuvaa ndio maana wengi kwenye matukio maalumu wanakuwa salesale maua
Ooyooo huyu jamaa tokea aukwei huwo uwaziri sijui katenda lipi la maana na labda ni kupiga marufuku ule usanii wa makongomano na masemina na mawarsha na vikao vya kupongezana kwa kupata ulaji wa nguvu lakini kwa sasa kachoka na anasinzia na wajanja nao mdondo dondo wana vuta mpunga kama kawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.