Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

mimi ndo nimechuna na break za mbuzi kwa macho kuona alivobadilika rangi kama kinyonga ghafla!!!!

jamani hawa wasichana hawogopi?

waogope nini....unaweza kuiogopa biashara yako mwenyewe?
 
Sishangai huyo Maunda - siku ile pale usiku wa Kili Music Award ambapo huyu dada alivaa hivyo mbele ya umati, baba yake Mzee Zahiri alipopanda jukwaani kupokea zawadi yake, watoto wake walimsindikiza akiwemo Banana na Maunda. Zahiri alisema hivi ...... there are a lot of men out there but you dont want to marry my daughter .......... Ki-utamaduni nilishangaa, lakini nilipomuona Maunda mwenyewe alivyovaa SIKUSHANGAA labda ilikuwa ni "advert".
 

what would one expect from this kind of a parent jamani!!!!!!!!!!
 
Huyu ni mweupe alafu tena bado anajikarabati kha!!
 
c mnasema amezaa? huyo baba ajiulize kwanini huyo aliemzalisha hajamuoa.

aaaah dearest huyo ndo baba mwenyewe unamuonaje????

kuwa mzazi hakuiishi kwenye kuzaa tu......
no wonder waswahili husema kulea mimba si kazi kazi kulea mwana!!!!!!!!!!!!!!
 
dearest wewe umemuelewa vizuri huko usoni? kumetokea nini jamani.

hahaaaa mmomonyoko wa ngozi na make-up mamii!!! yaani nakwaambia ananikumbusha ''song of Lawino n Okol''
 
aaaah dearest huyo ndo baba mwenyewe unamuonaje????

kuwa mzazi hakuiishi kwenye kuzaa tu......
no wonder waswahili husema kulea mimba si kazi kazi kulea mwana!!!!!!!!!!!!!!


kama unalijua hilo litakusaidia sana mbeleni dearest.
 
Huyu ni punguani kabisa tena limbukeni wa starehe halafu hana hata aibu kuvaa uchi mbele ya baba yake mzazi na kaka yake, kawatia aibu sana siku ile baba yake Mzee zahil Ally zorro na kaka yake Banana ambao walikuwa wakijiinamia tu, Banana na baba yake ni watu wanaheshimika kwenye jamii ya wapenzi wa music wa Bongo. Jirekebishe wewe dada na acha kuwatia aibu baba na kaka yako na familia zao
 
easy guys...so much hatred wont do you good!let her be,the end will determine the means!
 

asikie aibu angempigia chapuo hapo juu???

 

The dad probably wants attention too, may be even more that his daughter!, sickening!
 
kwa mwendo huo yataka kujisusa ili uweke ndani kitu ya aina hii kama mkeo. Maana hachelewi kukuaibisha pale ucpotaraji na penye kutaka staha ya hali ya juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…