beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Na usio2taja je,kuna ulazima wa kueleza beibe nasty?
Au CC ni M?
Hapana madame b jaman sikuweza kumention watu wote mpenzi hawa ni sample tu pliiiz nambie jaman umetokelezeaje mamito
Leo nime2pia kitu cha nyavu nyavu,juu mpaka chini,c unajua ofis zetu mjini hapa? Unavaa chochote beibe nasty!
tupiaaaa kitu cha big mark nyeusi nimeachia mkanda mmoja ndani siglendi nyeupe...chini timbaland buti...juu kapero ya kama mzee ujuang brown flani rangi ya tims.
Inshaallah!! Mussolinme leo nimetupia kitu cha kanzu mwanzo mwisho
na joto la hili jiji npo na pens black, chin sendoz za macklet khak juu tishrt dark green... wit few madaftari naingia lecture
Sikakuona ama ye pweza?Mmjuaje, nina kijani na njano.
Nimetupia koti la suti juu ya sinklend. Boxer nyeupe, bukta, trouser na kitu cha yebo kwa chini.