Kiutani utani

Uko ni ughaibuni mkuu..ikitokea bongo lazima watu wavunjwe miguu
 
Hivi mimi na familia yangu tukiandamana nyumbani kwangu nitakuwa nimefanya kosa?
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana
 
Mkwara wa jana ughaibuni
1. JF imepotezwa kwa masaa
2. Rais kapiga speech fupi mno, sijui alihofia nini?

Hivi bado tuko salama kweli JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…