Jana kama utani katika akaunt yangu ya Facebook nimetuma status"Asante Mungu nimepata mshahara wangu". Baada ya dk3 baba mwenye nyumba aka like��.
Jana Kama utani ktk Akaunt yangu ya Facebook nimetuma status"ASANTE MUNGU NIMEPATA MSHAHARA WANGU......."Baada ya dk3 Baba mwenye Nyumba aka like