Kiutamaduni zaidi

Last edited by a moderator:
haki ya nani ingekua badi tunau tamaduni kama wazamani sidhan kama tungetumia mamilion kwa issue ya siku moja

hapo kitu maarage,wali.issue imeisha

mnakoroga juic ya kukoroga basii
 
mmmhhhh mbona kama naona ugali wa mtama hapo ....... sio ufipani huko??
 
haki ya nani ingekua badi tunau tamaduni kama wazamani sidhan kama tungetumia mamilion kwa issue ya siku moja

hapo kitu maarage,wali.issue imeisha

mnakoroga juic ya kukoroga basii

hahahaaaa juisi unga a.k.a supadipu
 
haki ya nani ingekua badi tunau tamaduni kama wazamani sidhan kama tungetumia mamilion kwa issue ya siku moja

hapo kitu maarage,wali.issue imeisha

mnakoroga juic ya kukoroga basii

Kitu togwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…