Kiusalama wa Rais, Je hii ni sawa?

Kiusalama wa Rais, Je hii ni sawa?

Huoni kama ni ushirikina mtupu unaendelea hapo..
 
Trafiki anakukamata kwakua ume over speed ukimuuliza kosa nini anakwambia ume over speed ni hatari kwa usalama wako, Sasa muulize Kati ya Mimi na rais unaona nani muhimu kwako?
Magari ya msafara wa rais hata madereva wao hua hawaangalii speed meter[emoji23]

Sheria ipo ili kumkandamiza maskini.
 
Back
Top Bottom