Kiusahihi mimba ya nani ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Mapema ya leo Swaiba wa mie wa karibu, alinipigia niende kwake haraka kuna tatizo la dharura.
Mara tu nilipofika nikakuta sintofahamu ya Swaiba wakitupiana maneno makalimakali na Mkewe , matusi included pia.
But maneno makuu yaliokua yametawala pale ni Mkewe (ambae ni mja mzito) akishinikiza kwenda kwao.
Mume nae akimzuia mkewe kwa kumwambia ;-"Mimi sina tatizo na kuondoka kwako , napenda uende hata sasa hivi ! .
Lakini kinachofanya nikuzuie ni hiyo mimba yangu , sitokubali kabisa utoe mguu humu ndani mimba yangu ikateseke! Subiri ujifungue ndiyo uondoke"

Mke akamjibu ;-
" Khaa babuwee nipishie mbali , kuondoka ndiyo naondoka vizuri na mimba yangu! Na wala usijidanganye kama nitateseka na hii mimba yangu! "

Wana wa bodi kutambiana huku ama nikuite kutunishiana msuli kwa hawa Bibi & Bwana , ndiko kulikozaa hii Thrade .
Usahihi na ufasaha mwenye mimba hapa nani ?
 
hun kwan we ukinipa kitumbo itakuaje nan kasababisha si ni wewe,ana so mwenye mimba wewe in a sense dat umesababisha n mwenye mimba ni mwanamke coz yeye ndo kabeba kiumbe so is all abt holder in duecourse. Mmmh mtazamo bby
 
Ngoja kwanza natafakuri , then ntakujibu my mtazamo!
Mi ishan'changanya kiasi flani , japo si sana .
 
hun kwan we ukinipa kitumbo itakuaje nan kasababisha si ni wewe,ana so mwenye mimba wewe in a sense dat umesababisha n mwenye mimba ni mwanamke coz yeye ndo kabeba kiumbe so is all abt holder in duecourse. Mmmh mtazamo bby

hivi kwani ukiweka card kwenye atm hizo hela zinazotoka ni za atm au zako.??? kuanzia mimba mpaka mtoto ni wangu mimi ye kanishikia tu kama atm mashine
 
Mke na mimba ni vyangu as me ndo navimiliki. Otherwise she is not my wife.
 
hivi kwani ukiweka card kwenye atm hizo hela zinazotoka ni za atm au zako.??? kuanzia mimba mpaka mtoto ni wangu mimi ye kanishikia tu kama atm mashine
Junior. Cux ukiiingiza card kwa ATM ukaklick kila kitu kikakubali...sekunde zile (miez tisa ile) kabla pesa hazijatoka...ni zako ama bado ni za ATM machine??!:thumbup::thumbup:
 
Last edited by a moderator:
hivi kwani ukiweka card kwenye atm hizo hela zinazotoka ni za atm au zako.??? kuanzia mimba mpaka mtoto ni wangu mimi ye kanishikia tu kama atm mashine

Ngoja nianze kupiga hesabu za mimba nilizowekeza nijue nina akaunti ngapi za mimba!
 
Mimba ni ya mke wakati hajajifungua akijifungua mtoto ni wa mume.. Km mimba ya mme basi aichukue
 
hun kwan we ukinipa kitumbo itakuaje nan kasababisha si ni wewe,ana so mwenye mimba wewe in a sense dat umesababisha n mwenye mimba ni mwanamke coz yeye ndo kabeba kiumbe so is all abt holder in duecourse. Mmmh mtazamo bby

BN
Such as i told you y'day, kwamba nipe time nitafakauri.
Baada ya tafakari am just droped with my mtazamo as a Jg's my self express !
Dad's role durin pregnancy wife .
There's plenty responsibilities inayompasa mwanaume! Hilo kwanza utambue.
The women are needed more specific attention during pregnancy time.
As a Dad's roles is also not negligible durin this wonderful moment journey.
As my duties to
Take her to pregnancy exercises classes and support her all through .
To take out as much information as i can on mwenendo wa mimba !
Nathubutu kusema mke with her mimba both are my wealthy coz unborn baby you given it's my CAPITAL whereby am expecting to earn some benefits the days coming.
Nifupishe kwa kusema Mke na mimba ni mali yangu.
So far hata mimi naunga hoja mkono ya swaiba wangu .
 
hivi, kimakosa huwa inakuwa ya nani?
Ukiptaja jibu hili, kinyume chake ni sahihi.
 
Mapema ya leo Swaiba wa mie wa karibu, alinipigia niende kwake haraka kuna tatizo la dharura.
Mara tu nilipofika nikakuta sintofahamu ya Swaiba wakitupiana maneno makalimakali na Mkewe , matusi included pia.
But maneno makuu yaliokua yametawala pale ni Mkewe (ambae ni mja mzito) akishinikiza kwenda kwao.
Mume nae akimzuia mkewe kwa kumwambia ;-"Mimi sina tatizo na kuondoka kwako , napenda uende hata sasa hivi ! .
Lakini kinachofanya nikuzuie ni hiyo mimba yangu , sitokubali kabisa utoe mguu humu ndani mimba yangu ikateseke! Subiri ujifungue ndiyo uondoke"

Mke akamjibu ;-
" Khaa babuwee nipishie mbali , kuondoka ndiyo naondoka vizuri na mimba yangu! Na wala usijidanganye kama nitateseka na hii mimba yangu! "

Wana wa bodi kutambiana huku ama nikuite kutunishiana msuli kwa hawa Bibi & Bwana , ndiko kulikozaa hii Thrade .
Usahihi na ufasaha mwenye mimba hapa nani ?
mwenye mimba ni yule aliyeibeba basi.
 
haya wajuzi hao mtu juze tuuu

It needed a tiny knowledge to reveal the agenda concern !
By the time a someone female conceive ! Ina maana their's a someone male plant a grain to your womb !
Tha's a BOND !
And their'no bond w/out owner of the bond !
Inaposemwa ikiwa bado ni mimba owner ni yeye and when she delvrd the baby will b father's wealth , that's a narrate story!
 
Wote wawili.

Remmy !
You brought me your comments very cmpo !
But am take this aportunity to provide you some hints as follows ;
> For Man did not come from Woman, but Woman from Man .
Neither was Man created for Woman, but Woman for Man.
(Corinthians 11:8-9 )
> FOR Adams was formed first then Eve .
(1 Timotheo 2:3)
Remmy hebu angalia hayo mavifungu then utafakuri !
It's absolutely not forever this two human being equally !
And the RIB which the LORD GOD has taken from Man made he a Woman and brought her unto the MAN !
Sina maana Wife as being as a servant, but as a companion with assistance , so that nothin be lack in of honor or of dignity in the obedience which she pays .
Yote kwa yote siungi mkono kua mume na mke wako sawa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom