Kiuno kinauma sana.

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
205
Habari wana Jf.

Kama nilivyoainisha hapo juu, kiukweli naumwa sana na kiuno yaani nikijikunja kidogo kama nataka kuangukia nyuma napata maumivu makali sana. Kuna siku kiliuma mpaka nikaomba niwekewe kitu kizito kiunoni huku nimelala toka siku hiyo ndo mpaka leo bado kinauma.

Msaada tafadhali
 
Ni misuli imeumia kwa ndani,ulibeba kitu kizito?mimi pia nilipata tatizo nikapewa dawa za maumivu na masharti ya kutoinama,kuwacha kukalia kochi,kalia kiti cha dinning,hata kuvaa viatu usiiname;inua mguu ukae juu nk kwa muda wote hadi maumivu yaishi,muone daktari
 
Ulivyoweka kitu kizito kiunoni ndio umeharibu.....
Madaktari msaidieni huyu
 
Kuna uwezekano ulitembea na mwanamke aliye kwenye siku zake kumbuka vizuri
 
Discs zimekuwa dislocated labda uliinua kitu kizito, unafanya shughuli gani kila siku?
Manual-Handling-Training1.jpg


Uzito wa mzigo unaobeba uwe unabebwa na mapaja kwakuwa hapo ndiyo nguvu ya power of gravity inaposhuka.
 
Discs zimekuwa dislocated labda uliinua kitu kizito, unafanya shughuli gani kila siku?
Manual-Handling-Training1.jpg


Uzito wa mzigo unaobeba uwe unabebwa na mapaja kwakuwa hapo ndiyo nguvu ya power of gravity inaposhuka.
Huwa nachota maji kila hasubuhi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom